Habari wadau! Natafuta msichana aliyehitimu kidato cha Sita mwaka 2013 na kupata daraja la I-III katika masoma ya Biolojia, Kemia na Fizikia (PCB) kwa ajiri ya ufadhiri wa masomo ya elimu ya juu. Msichana huyu lazima awe anatoka Wilaya ya Ukerewe.
Breaking news ya family Yako sio humu kwenye jukwaa maana inaonyesha ni kwa interest Yako ,why msichana na why ukerewe kwa hiyo akisoma akamaliza ,Bahati mbaya akapata Ajali AKafa ?utatoa tangazo Kama hili tena.?.