Nafasi ya Scholarship kwa Msichana aliyesoma PCB

Nafasi ya Scholarship kwa Msichana aliyesoma PCB

Joined
Nov 15, 2012
Posts
38
Reaction score
70
Habari wadau!
Natafuta msichana aliyehitimu kidato cha Sita mwaka 2013 na kupata daraja la I-III katika masoma ya Biolojia, Kemia na Fizikia (PCB) kwa ajiri ya ufadhiri wa masomo ya elimu ya juu.
Msichana huyu lazima awe anatoka Wilaya ya Ukerewe.

Tuwasiliane kwa namba hii. 0766764807
 
Unamfadhili kwa interests zipi?
What gains do you expect in return?
Kwanini msichana tu?
 
Unajua maana ya Breaking News????
 
Mkuu isijekuwa hii ni Kabang Star search lakin we umetumia kivuli cha scholarship !!!
 
Kwanin wasichana tu!! Kwan wavulana waliosoma pcb hawapo!??
 
Kwa nin awe wa ukerewe tu,au ndo mambo ya ukabila hayo?
 
Breaking news ya family Yako sio humu kwenye jukwaa maana inaonyesha ni kwa interest Yako ,why msichana na why ukerewe kwa hiyo akisoma akamaliza ,Bahati mbaya akapata Ajali AKafa ?utatoa tangazo Kama hili tena.?.
 
Toa details za hiyo scholarship otherwise huu utakua tu ushamba wa kijijini/
 
Back
Top Bottom