Uliza_Bei JF-Expert Member Joined Feb 17, 2011 Posts 3,216 Reaction score 990 Jan 7, 2014 #21 Haya matokeo ya intelijensia ya Nyerere, kwasasa tunaelekea mwisho maana ipo ya JK na ya EL zinazodoana tu
Haya matokeo ya intelijensia ya Nyerere, kwasasa tunaelekea mwisho maana ipo ya JK na ya EL zinazodoana tu
A Albosignathus JF-Expert Member Joined Apr 26, 2013 Posts 4,886 Reaction score 1,038 Jan 7, 2014 #22 Tanzania ina upepelezi gani na wewe kukamata wasiohusika tu na uongo.hicho ni kipindi cha nyerere na si kwa sasa.
Tanzania ina upepelezi gani na wewe kukamata wasiohusika tu na uongo.hicho ni kipindi cha nyerere na si kwa sasa.