Unaambiwa katika kuhakikisha wanapambana na hali yao ya kujinusuru na kushuka daraja,wasije kuwachosha Wachezaji wao wa kikosi cha kwanza na/au kupata majeraha Jamaa waliteremsha kikosi cha vijana na bado Bi Hindu Sports Club iliyokuwa imesheheni wachezaji wa team ya Taifa ya Salum Mayanga (Kocha) wakalala 1-0.