Nafasi ya team iliyocheza na Wahenga S.C (Simba S.C)

Nafasi ya team iliyocheza na Wahenga S.C (Simba S.C)

Anselm

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
1,710
Reaction score
291
7099c11dfdd87d64ddf7cd272fcf9494.jpg

Unaambiwa katika kuhakikisha wanapambana na hali yao ya kujinusuru na kushuka daraja,wasije kuwachosha Wachezaji wao wa kikosi cha kwanza na/au kupata majeraha Jamaa waliteremsha kikosi cha vijana na bado Bi Hindu Sports Club iliyokuwa imesheheni wachezaji wa team ya Taifa ya Salum Mayanga (Kocha) wakalala 1-0.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
a9084fd6b4ab98540a41f1870cc08804.jpg

[emoji51][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji16]
 
Wasouth wanapenda jokes...mnyama kapania mechi wenyewe wanapanga under 17
 
Kaeni mkao wa kula kesho saa 10 jioni.
Simba sc inacheza na hiyo timu inayoongoza ligi ya South Afriva.
Bidvest Wits.
 
Back
Top Bottom