Nafasi ya upendeleo

Nafasi ya upendeleo

Massawejr

Member
Joined
Jul 22, 2022
Posts
19
Reaction score
23
Kwa upande wangu natamani sana kuona wanafunzi hasa kwanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita wanapewa elimu ya kutosha ya kujitegemea.

Kwamfano nchi yetu kuna washauri na watu waliobobea kwenye masuala ya teknolojia ya mtandaoni, pia watengeneza maudhui
 
Nafasi ya upendeleo inakujaje sasa n mada hii
 
Back
Top Bottom