Wakuu natumai muwazima wa afya.
*Mimi ni muhitimu wa mafunzo ya ualimu ngazi ya "diploma" katika masomo ya physics & biology,,,
*Nimependa ku- share nanyi uzi huu kwa malengo makuu mawili.
1.Kwa sababu huwezi jua bahati ama rizki iko sehem gani hivyo ni muhimu kushirikisha watu wengine ili kufikia malengo,,,, naomba kufahamishwa endapo Kuna nafasi ya kufundisha katika shule za sekondari ama English medium primary schools Niko tayari kugawana ujira wa mwanzo na atakayenifanyia uwakala Kama shukran yangu kwake.
2. Lengo la pili nikwamba ni Imani yangu kuwa ujumbe huu utawafikia watu wengi na miongoni mwao wapo wenye moyo wa kutokomeza umaskini na kusaidia wengine.
Natanguliza shukran.