Lastborn Wa Taifa
New Member
- Aug 22, 2025
- 3
- 0
“Niwaombe viongozi wote wa dini hapa nchini kuendelea kuhubiri Amani, Utulivu na Upendo kwa waumini wenu na kuwa kiunganishi ili jamii iweze kuondokana na migogoro isiyokuwa na tija. ” Rais Dkt Samia
Raisi wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Samia amekuwa akisisitiza sana viongozi wa dini kuwa sehemu ya kuhubiri zaidi amani kwani wao.wapo karibu zaiidi na wananchi kiimani.Licha ya hivyo kumekuwa na viongozi wa dini wa hovyo badala ya kuwa sehemu ya kujenga taifa wao wanaligawa letu kwa kuleta maneno ya kuchochea vurugu na kugawa wananchi ambayo si ya heshima kwa serikali na ya kukebei,dharau na kidhalili kwa serikali iliobopo madarakaninambayo ni kitu kibaya.
Mwisho wa thread:Kuna viongozi wa dini wanakosea na hata dini zao sidhani kuwa mafundisho yao yanafundisha hivyo na naweza kusema wana maslahi binafsi kabisa na malengo yao ni ya kuligawa taifa na kuvunja amani yetu kwa maslahi binafsi kwa sababu wangeweza kushauri serikali kwa namna ya kujenga zaidi na sio kama wanavyofanya.