Nafasi ya vitabu katika ukuzaji wa pato lako

The Ape

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
330
Reaction score
475
Watanzania wengi ni wavivu wa kusoma vitabu... Sijui ni kukosa uelewa wa umuhimu wa vitabu au kukosa muda,uwezo wa kifedha na sababu kemkem tulizonazo.Nas alishawahi kusema katika wimbo wake wa I can kwamba "read more,learn more,change the globle" hii imeonesha umuhmu wa vitabu katika kuongeza maarifa na kujitegemea,pia aliyekua rais wa marekani bwana Lincoln alidai rafiki wake wa kweli ni yule anayemletea kitabu asichowahi kukisoma... Hii imeonesha kwenye kila kitabu kuna kipya cha kujifunza.Tukijizoesha kusoma vitabu vitatupa majibu ya maswali yanayotukabili na kuyatatua pasipo shauri za watu.hapa kuna list ya vitabu vilivyoshuhudiwa kusaidia wengi kutoka kwenye umasikini na kufanikiwa kifedha,maswali yote juu ya kuwekeza,spending habits za mamilionea,savings na mengineyo yameongelewa..

lets dig in right here...
1.Think and grow rich

2.The science of getting rich

3.Rich dad,poor dad

4.The richest man in babylon

5.The millionaire fast lane

6.The total money makeover

7.What color is your piggy bank

8.The money book for the young,fabolous & broke

9.You call the shots

10.Secrets of the millionaire mind

11.Yes,you can..... achieve financial independence

12.Your money or your life

13.The 4-hour workweek

14.The millionaire next door

15.The automatic millionaire Hakika asomae hivi amebarikiwa kiuchumi na atafanikiwa kibiashara... ...
 
The millionare next door haistahili kukaa hapo

Imerank no.1 on my list na ndo kitabu bora zaidi kwangu kikifatiwa na automatic millionare ila nimepanga tu bila utaratibu maalum.
 
Mkuu nakubaliana na wewe kabisa maana baada ya kumaliza kukisoma kitabu cha poor dad rich dad maisha yangu yamebadilika sana, ghafla nilijikuta nkiwekeza ktk biashara za kunipatia faida nzuri sana
 
Mkuu nakubaliana na wewe kabisa maana baada ya kumaliza kukisoma kitabu cha poor dad rich dad maisha yangu yamebadilika sana, ghafla nilijikuta nkiwekeza ktk biashara za kunipatia faida nzuri sana

Mkuu tafuta na hicho cha millionaire next door,unaweza jiona miaka kadhaa utamkuta bill gate.
 
Ntakipataje mkuu, hapa nko namalizia the richest man in babylon..
 
Ntakipataje mkuu, hapa nko namalizia the richest man in babylon..

Iko kitabu ni cha aina yake aisee... Nilikisoma last year,nilikielewa kuliko vyote nadhani.Kama mpenzi wa kusoma mtandaoni ingia www.bookrags.com utafungua account utajiunga na kusoma kitabu chochote utakacho...vyote nilivyoviandika hapo juu vipo,na kwa unafiki wanakupa na kaexercise wakupime... Unaweza soma kitabu kizima au summary yake.
 
unawambia wasome vitabu vya kiingereza wakati ata vya kiswahili vinawashinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…