The Ape
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 330
- 475
Watanzania wengi ni wavivu wa kusoma vitabu... Sijui ni kukosa uelewa wa umuhimu wa vitabu au kukosa muda,uwezo wa kifedha na sababu kemkem tulizonazo.Nas alishawahi kusema katika wimbo wake wa I can kwamba "read more,learn more,change the globle" hii imeonesha umuhmu wa vitabu katika kuongeza maarifa na kujitegemea,pia aliyekua rais wa marekani bwana Lincoln alidai rafiki wake wa kweli ni yule anayemletea kitabu asichowahi kukisoma... Hii imeonesha kwenye kila kitabu kuna kipya cha kujifunza.Tukijizoesha kusoma vitabu vitatupa majibu ya maswali yanayotukabili na kuyatatua pasipo shauri za watu.hapa kuna list ya vitabu vilivyoshuhudiwa kusaidia wengi kutoka kwenye umasikini na kufanikiwa kifedha,maswali yote juu ya kuwekeza,spending habits za mamilionea,savings na mengineyo yameongelewa..
lets dig in right here...
1.Think and grow rich
2.The science of getting rich
3.Rich dad,poor dad
4.The richest man in babylon
5.The millionaire fast lane
6.The total money makeover
7.What color is your piggy bank
8.The money book for the young,fabolous & broke
9.You call the shots
10.Secrets of the millionaire mind
11.Yes,you can..... achieve financial independence
12.Your money or your life
13.The 4-hour workweek
14.The millionaire next door
15.The automatic millionaire Hakika asomae hivi amebarikiwa kiuchumi na atafanikiwa kibiashara... ...
lets dig in right here...
1.Think and grow rich
2.The science of getting rich
3.Rich dad,poor dad
4.The richest man in babylon
5.The millionaire fast lane
6.The total money makeover
7.What color is your piggy bank
8.The money book for the young,fabolous & broke
9.You call the shots
10.Secrets of the millionaire mind
11.Yes,you can..... achieve financial independence
12.Your money or your life
13.The 4-hour workweek
14.The millionaire next door
15.The automatic millionaire Hakika asomae hivi amebarikiwa kiuchumi na atafanikiwa kibiashara... ...