Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
Mtanzania anafanikiwa vizuri sehemu yupo na peace of mind, yaani ndio mazingira tuliozoea kuishi na tunafanikiwa na akija kufanya kazi kwako sio kwamba wewe ndio lasted option kwamba ukizingua basi hatopata kwengine, neverBasi watanzanzia mnajua nn kuhusu kupambana!! labda wivu, uzembe, uchawi na kupiga soga[emoji23][emoji23]
Mkenya ana survive popote pale as long as anapata mpunga wa maana
Juzi tu hapa kuna wafanyakazi tuliwatoa mkoa fulani wa shamba kuangalia tu bwawa la samaki na drip irrigated farm walikua wanalipwa 300k na walikua wanapata huduma zote chakula, malazi na everything for free na hakukuwa na kazi ya kuchosha wala nini na wala hawasimamiwi ila basi tu sijui wamekutana na ndugu zao huku wamejuana wameshsuriana walivyoshauriana wameamua kuacha kazi kuendelea na michongo yao
So usifikiri kuna shida ya kazi kiviile, watanzania wanavyoishi ni tofauti na ninyi, ninyi mkitoka vijijini kwenu huko Nairobi ndio kila kitu na life lipo Nairobi tu, limited resources
Ndio maana mnaenda kwenye nchi za watu mpaka mnalogwa bado mnakomaa tu 😂😂😂😂