Nafasi za ajira za mkataba Halmashauri ya wilaya ya Kwimba

Siku hizi serikali imeanza kuajiri kwa mkataba...
 
Ni wapi kwenye tangazo wameandika ni ajira za mkataba, au ndo kudemka kwenyewe huku....
Nipo jikoni unatakaje labda .... Na tangazo nimepost Mimi ... Nisibonge sana ... Nimewapa fursa mkitaka sawa ukiacha sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…