Nafasi za kazi 1241 Jeshi la Magereza

Nafasi za kazi 1241 Jeshi la Magereza

Serengeti DC

Member
Joined
May 21, 2022
Posts
5
Reaction score
5
Kamishna Jenerali wa Jeshi La Magereza anatangaza Nafasi za Kazi 1241- za kujiunga na Jeshi kwa Mwaka 2022.

Mwisho wa kutuma Maombi Tarehe 15 .JUNI.2022

--
1.JPG
2.JPG
3.JPG
 
Hizi nafasi zimepotelea wapi?

Au bajeti ndio tatizo mbona kimya?
Washaingia vikosini hao, Kama una update zozote tujuzane nina Mwanangu uko naona waliambiwa hakuna kutumja simu isijekua wanafanywa vibaya
 
Kwel za kitambo mzee ila tunahitaj tu update maana wako mafunzoni sai, Hivi wanapiga kozi miezi mingapi?
 
Mbona za kitambo mnazileta leo
Kama unaelewa kuhusu muda wao wa mafunzo, Mishahara ya mwanzo na kingine chochote ebu tujuzane, Na vipi uko walikoenda kunaeza kua na Mchujo tena?
 
Kama unaelewa kuhusu muda wao wa mafunzo, Mishahara ya mwanzo na kingine chochote ebu tujuzane, Na vipi uko walikoenda kunaeza kua na Mchujo tena?
Mchujo lazima wa vipimo na vyeti pia
 
Back
Top Bottom