Serengeti DC Member Joined May 21, 2022 Posts 5 Reaction score 5 Jun 8, 2022 #1 Kamishna Jenerali wa Jeshi La Magereza anatangaza Nafasi za Kazi 1241- za kujiunga na Jeshi kwa Mwaka 2022. Mwisho wa kutuma Maombi Tarehe 15 .JUNI.2022 --
Kamishna Jenerali wa Jeshi La Magereza anatangaza Nafasi za Kazi 1241- za kujiunga na Jeshi kwa Mwaka 2022. Mwisho wa kutuma Maombi Tarehe 15 .JUNI.2022 --
AnyWayZ JF-Expert Member Joined May 30, 2022 Posts 4,880 Reaction score 8,424 Oct 10, 2022 #2 Good Morning Tz said: Hizi nafasi zimepotelea wapi? Au bajeti ndio tatizo mbona kimya? Click to expand... Washaingia vikosini hao, Kama una update zozote tujuzane nina Mwanangu uko naona waliambiwa hakuna kutumja simu isijekua wanafanywa vibaya
Good Morning Tz said: Hizi nafasi zimepotelea wapi? Au bajeti ndio tatizo mbona kimya? Click to expand... Washaingia vikosini hao, Kama una update zozote tujuzane nina Mwanangu uko naona waliambiwa hakuna kutumja simu isijekua wanafanywa vibaya
Astizzle Senior Member Joined Sep 29, 2021 Posts 103 Reaction score 85 Oct 10, 2022 #3 Mbona za kitambo mnazileta leo
AnyWayZ JF-Expert Member Joined May 30, 2022 Posts 4,880 Reaction score 8,424 Oct 10, 2022 #4 Kwel za kitambo mzee ila tunahitaj tu update maana wako mafunzoni sai, Hivi wanapiga kozi miezi mingapi?
Kwel za kitambo mzee ila tunahitaj tu update maana wako mafunzoni sai, Hivi wanapiga kozi miezi mingapi?
AnyWayZ JF-Expert Member Joined May 30, 2022 Posts 4,880 Reaction score 8,424 Oct 10, 2022 #5 Astizzle said: Mbona za kitambo mnazileta leo Click to expand... Kama unaelewa kuhusu muda wao wa mafunzo, Mishahara ya mwanzo na kingine chochote ebu tujuzane, Na vipi uko walikoenda kunaeza kua na Mchujo tena?
Astizzle said: Mbona za kitambo mnazileta leo Click to expand... Kama unaelewa kuhusu muda wao wa mafunzo, Mishahara ya mwanzo na kingine chochote ebu tujuzane, Na vipi uko walikoenda kunaeza kua na Mchujo tena?
Miniloy Member Joined Apr 13, 2019 Posts 44 Reaction score 61 Oct 10, 2022 #6 Dee RM said: Kama unaelewa kuhusu muda wao wa mafunzo, Mishahara ya mwanzo na kingine chochote ebu tujuzane, Na vipi uko walikoenda kunaeza kua na Mchujo tena? Click to expand... Mchujo lazima wa vipimo na vyeti pia
Dee RM said: Kama unaelewa kuhusu muda wao wa mafunzo, Mishahara ya mwanzo na kingine chochote ebu tujuzane, Na vipi uko walikoenda kunaeza kua na Mchujo tena? Click to expand... Mchujo lazima wa vipimo na vyeti pia