Nafasi za kazi Dar es salaam

Nafasi za kazi Dar es salaam

Pow_lah

New Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
1
Reaction score
0
kampuni ndogo iliyoka Dar es salaam inatafuta watu watatu kujaza nafasi tatu za ulinzi.
sifa za muombaji
1.awe mwenye akili timamu.
2. awe na umri kuanzia miaka 18 na zaidi
3. awe amepitia mafunzo ya mgambo.
4. awe mwaminifu.
5. awe na wadhamini watatu ambao watakubali kuhushwa na upotevu wowote unaohusika nae.
6. awe na barua kutoka kwa mjumbe na serekali ya mtaa anapoishi.
7. awe mtu makini na mwenye kujali kazi
8. awe na picha mbili za passport, kitambulisho cha kura na namba ya simu ya
inayopatikana muda wote.
kwa yoyote mwenye sifa atume barua ya maombi na vivuli vya vyeti vyake
kwenye anuani hii
WINGETY GARAGE
Plot no.423, blockG, sum nujoma Rd, opposite - university Rd,
P.o.box 491, Dar es salaam.barua pepe: linessy@yahoo.com
Att: administrative officer.
 
Wenzako wanawekaga mshahara na marupurupu yanayolipwa ndio utawapataga kwa urahisi.
 
Utawapata kwa vile waliofeli Form Four mwaka huu ni wengi:

Ila zingatia kuajiri kwa kufuata utaratibu wa kuzingatia yafuatayo:-
1. Kama mwajiri hunabudi kuandaa mkataba wa ajira ambao utaridhiwa na pande zote mbili(mwajiri na mwajiriwa)

2. Zingatia viwango vya mishahara kulingana na sekta husika(kima cha chini kwa mlinzi ni 80elfu)

3.Viwango vya ajira huna budi kuvingatia pamoja na kuwa na Sera ya Ajira(employment policy) ni jukumu lako.

Kama huwezi kuandaa mambo hayo: ni bora uache kuajiri au uwafate wataalamu wa sheria za kazi. Wakupe mwongozo. Na sehemu ya kuwapata nenda Chuo cha Ustawi wa Jamii(ISW); hulizia waliosoma INDUSTRIAL RELATIONS au WAliomaliza POSTGRADUATE DIPLOMA IN LAW;MEDIATION & ARBITRATION wako juu sana maswala yote ya Kazo.
 
Mi ni 1wapo Elimu darasa la 7 nina nguvu za kutosha hasa geitin pananifaa.
 
Back
Top Bottom