Nafasi za kazi idara ya mauzo- Platnum credit Morogoro

Nafasi za kazi idara ya mauzo- Platnum credit Morogoro

kanjahni

Member
Joined
Jul 19, 2014
Posts
42
Reaction score
14
Habari,

FURSA YA AJIRA KWA VIJANA NA WATUWAZIMA ELIMU KUANZIA - KIDATO CHA NNE NA KUENDELEA.

PLATINUM CREDIT - KANDA YA MOROGORO

Tunatangaza nafasi za AJIRA mpya idara ya MAUZO -KANDA YA MOROGORO ( GAIRO, MVOMERO,IFAKARA,KILOMBERO,MAHENGE/ULANGA,MALINYI,MLIMBA),Tunahitaji watu wenye uzoefu kuziba nafasi za EXUCUTIVE SALES TEAM LEADERS( Viongozi wa timu za MAUZO) , PIA tumeanzisha KITENGO KIPYA upande wa MAUZO yaani mauzo kwa njia ya SIMU ( TELE SALES ).

FURSA HII ni kwa mtu yeyote ambae anauwezo wa kujieleza vizuri, mtanashati , mwenyemtizamo chanya PIA mwenye ARI ya kujituma na mwenye uwezo wa kutimiza malengo.

Wenye UZOEFU watapewa kipaumbele lakini watakaofanikiwa wataanza na mafunzo ya KAZI kabla ya kupangiwa maneo ya kazi.

KAMA una ndugu , jamaa au Rafiki mtangazie fursa hii na Tunahitaji watu wa kuziba nafasi hizi haraka sana

KWA MAELEZO NA MAULIZO;

PIGA KWA - MENEJA WA KANDA YA MOROGORO
SIMU;....... 0677 004426/ 0773778874 AU 0714 078171
Email........ kanjahni@gmail.com

OFFICE LOCATION; Fika kwenye jengo la BISHOP MKOBA - Jengo la BANK YA MKOMBOZI TAWI - MOROGORO
Opposite na HOSPITAL KUU YA MKOA WA MOROGORO

'' KWA WANAOHITAJI PIGA SIMU KWA MAULIZO NA MAELEKEZO JINSI YA KUOMBA KAZI ""

Ahsante!!
 
Hawa Nazi zao ngumu ni kutafuta wateja watakao kopa kwenye campuni yao utazunguka maofisi ya serekali mpaka unyee
Ucpopata cliet hulambi hata mia

Utaishia kupewa ela ya nauli unapoenda na bumunda tu maji utaomba njian
 
Hakuna kitu hapo

Ni mara mia moja mtu akazungushe dishes mtaani kuliko kufanya kazi platnums
 
Back
Top Bottom