Nafasi za kazi jumuiya ya afrika mashariki

tembaisdor

Member
Joined
Sep 19, 2011
Posts
29
Reaction score
8
Jamani kwa yeyote anaejua kinachoendelea kuhusu kazi zilizotangazwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki zimeishia wapi, Please inform us kinachoendelea,
 
Hii wizara huwa haipatiwi fungu la kutosha, inafika wakati waziri husika inambidi atumie pesa zake za mfukoni kuendesha kazi za wizara..... Kwahiyo suala la ajira mpya hapa ni story tu!!
 
Hiyo si Wizara ni Jumuiya ya Afrika Mashariki makao makuu Arusha,
 
Hii wizara huwa haipatiwi fungu la kutosha, inafika wakati waziri husika inambidi atumie pesa zake za mfukoni kuendesha kazi za wizara..... Kwahiyo suala la ajira mpya hapa ni story tu!!

Acha Kukurupuka wewe, unaambiwa Jumuiya wewe unakuja na Wizara na Waziri!...kama huna cha kufanya nenda kafue ch..i yako
 
Hii wizara huwa haipatiwi fungu la kutosha, inafika wakati waziri husika inambidi atumie pesa zake za mfukoni kuendesha kazi za wizara..... Kwahiyo suala la ajira mpya hapa ni story tu!!

Vp kulikuwa na kidume kifuani nini, wakati unaandika huu uzi wako? Umeonyesha akili yako haina akili kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…