tembaisdor
Member
- Sep 19, 2011
- 29
- 8
Jamani kwa yeyote anaejua kinachoendelea kuhusu kazi zilizotangazwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki zimeishia wapi, Please inform us kinachoendelea,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii wizara huwa haipatiwi fungu la kutosha, inafika wakati waziri husika inambidi atumie pesa zake za mfukoni kuendesha kazi za wizara..... Kwahiyo suala la ajira mpya hapa ni story tu!!
Hii wizara huwa haipatiwi fungu la kutosha, inafika wakati waziri husika inambidi atumie pesa zake za mfukoni kuendesha kazi za wizara..... Kwahiyo suala la ajira mpya hapa ni story tu!!