Nafasi za kazi kutoka kampuni la mofat linalohusika na mwendokasi ilikuwa kweli?

Youbettersleep

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2019
Posts
955
Reaction score
1,672
Wajomba! majuzi hapa kama sikosei ni mwezi umepita zilitokea fursa na matangazo mengi kuhusu nafasi za kazi kwa kampuni la usafirishaji MOFAT lenye kuhusika na huduma za mwendokasi (BRT).

Waliweka vigezo vingi sana na nafasi nyingi zilitangazwa kama
MADEREVA
WAKATA TICKET
MAFUNDI MECHANICAL
HR'S
WAHASIBU NA WENGINE WENGI.

sasa naomba kuuliza haya matangazo yalikuwa ni kweli au fix za programmers au watu wa websites???

Kama kuna walio apply hebu niambieni
 
Mm pia nil

Mm pia niliomba ile kampuni ni kubwa tu hata kwenye kampeni za afya niliwah kuona wamejitoa (CSR), sijui sasa kwenye kupembua kwao km kuna mtu humu wamemwita mana bara ajira ndogo ndogo kuchimbike kwelikweli
 
Sielewi elewi hii kampuniv

Back
Top Bottom