Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 955
- 1,672
Mm pia niliomba ile kampuni ni kubwa tu hata kwenye kampeni za afya niliwah kuona wamejitoa (CSR), sijui sasa kwenye kupembua kwao km kuna mtu humu wamemwita mana bara ajira ndogo ndogo kuchimbike kwelikweliWajomba! majuzi hapa kama sikosei ni mwezi umepita zilitokea fursa na matangazo mengi kuhusu nafasi za kazi kwa kampuni la usafirishaji MOFAT lenye kuhusika na huduma za mwendokasi (BRT).
Waliweka vigezo vingi sana na nafasi nyingi zilitangazwa kama
MADEREVA
WAKATA TICKET
MAFUNDI MECHANICAL
HR'S
WAHASIBU NA WENGINE WENGI.
sasa naomba kuuliza haya matangazo yalikuwa ni kweli au fix za programmers au watu wa websites???
Kama kuna walio apply hebu niambieni
Mm pia nil
Mm pia niliomba ile kampuni ni kubwa tu hata kwenye kampeni za afya niliwah kuona wamejitoa (CSR), sijui sasa kwenye kupembua kwao km kuna mtu humu wamemwita mana bara ajira ndogo ndogo kuchimbike kwelikweli
Huelewi nn ulitegemea kuitwa?Sielewi elewi hii kampuniv
HapanaHuelewi nn ulitegemea kuitwa?
Maana kuna mtu aliomba namim ndio nilimsaidia ananisumbua sanaaaaaNilidhan najiuliza peke ang
Sasa anakusumbua,wewe ndio hr?Hapana
Maana kuna mtu aliomba namim ndio nilimsaidia ananisumbua sanaaaaa