Nipo tayari mmaryGood people
Nahitaji watu 4 kwenda nao Mtwara kikazi kwa siku 3.
Usafiri,chakula na malazi vyote vinatolewa na kampuni.
Ni kampuni kubwa inayo jihusisha na uchimbaji wa gesi asilia.
Ni kuanzia Feb. 29 hadi Feb.31
Malipo ni $.70 kwa siku.
Atakaye penda kujiunga au kama una ndugu au jamaa nijulishe.
Good people

Kufenda Mangiii shilolye kukelemba masembo AiseNafasi zimebaki mbili kufikia sasa
una akili za haraka sama bwana Mapovu, big upHivi February ina tarehe 29 na 31 kweli?