Nafasi za kazi MUCCoBS

Nafasi za kazi MUCCoBS

Kyvo

Member
Joined
Jan 11, 2012
Posts
47
Reaction score
13
Kwa wale wote waliomaliza degree, masters katika fani tofauti tofauti, kuna nafasi nyingi za kazi zimetangazwa Moshi University. google MUCCoBS zicheki
 
Wadau wengi naona wanakazi zao bwana, kama hawajachangamkia fursa hii!!
Ingekuwa umesema TRA!! ungeshangaa!!!
 
Kwa wale wote waliomaliza degree, masters katika fani tofauti tofauti, kuna nafasi nyingi za kazi zimetangazwa Moshi University. google MUCCoBS zicheki

Wengine simu zetu hazifungui pdf.Ungezikopi hapa ili iwe rahisi kuziona!
 
Wacha tufanye kujaribu bahati yetu maana tumekaa sana mtaani na kunachosha
 
thx ila hizo zlishatoka cku nyingi na dedline yake ilikuwa 19 march
 
Back
Top Bottom