Nafasi za kazi ndani ya jf......

Nafasi za kazi ndani ya jf......

manuu

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2009
Posts
4,064
Reaction score
10,733
Jamani napenda kwa heshima na taadhima kuwauliza wahusika na wasimamizi wakuu wa mtandao huu wa JF,

Hivi jamani nyie hamna ofis?Na kama jibu ni ndiyo kwa maana ya mnazo ofisi.
Je hamna nafasi yeyote ya kazi jamani huko?

Namaanisha kazi yeyote kwa kuanzia kwani nimeshazunguka ofisi zote ilikuwa bado ofisi za JF tu.
Natanguliza shukrani zangu za dhati,

Wenu katika kutafuta kazi
Manuu.

Mitandao mingi mikubwa ofisi zao wengine zilianzia hostel,garage etc
 
Tunasubiri jibu, kazi zipo tuombe? Na ofisi zenu ziko wapi? Natanguliza shukrani.
 
Tusiwe na mawazo yaliyoganda ambayo yanafikiria ajra kila cku, kwa stahili hii Tanzania tutaendelea kuwa ombaomba! Elimu uliyonayo tumia ikukombo, "Thinkin to be employed is a stuck mind"
 
Aisee wewe ni mkali
ngoja nikuitie wakuelekeze ofisi zilipo
mwaJ
Ciello
Kongosho
King'asti
embu muelekezeni huyu kijana ofisi za jf zilipo apeleke maombi mwee
hata mie nitapeleka dah
 
Last edited by a moderator:
mkuu hii ni virtual organization kama ilivyo wikiliks haionekani physically
 
Aisee wewe ni mkali
ngoja nikuitie wakuelekeze ofisi zilipo
mwaJ
Ciello
Kongosho
King'asti
embu muelekezeni huyu kijana ofisi za jf zilipo apeleke maombi mwee
hata mie nitapeleka dah

Ofisi mbona anayo mwenyewe? Tutamuelekeza wapi sasa? Hapo hapo alipotumia kufikisha hilo swali lake ndio ofisi yenyewe hiyo. Sasa kwa vile mie ni msaidizi wa Bujibuji na snowhite hapa kwenye directorate ya HR, nimeagizwa nimjulishe kuwa amepata ajira kama karani wa kuchambua uzi zisizoeleweka kirahisi kama za kina Natalia.
 
Last edited by a moderator:
Jamani napenda kwa heshima na taadhima kuwauliza wahusika na wasimamizi wakuu wa mtandao huu wa JF,

Hivi jamani nyie hamna ofis?Na kama jibu ni ndiyo kwa maana ya mnazo ofisi.
Je hamna nafasi yeyote ya kazi jamani huko?

Namaanisha kazi yeyote kwa kuanzia kwani nimeshazunguka ofisi zote ilikuwa bado ofisi za JF tu.
Natanguliza shukrani zangu za dhati,

Wenu katika kutafuta kazi
Manuu.

mbona hata wewe mkuu ni mwajiriwa wa jf huoni kama muda mwingi upo nayo sambamba.. tuma mombi ya umod uwe unapozwa kisela...
 
Ofisi mbona anayo mwenyewe? Tutamuelekeza wapi sasa? Hapo hapo alipotumia kufikisha hilo swali lake ndio ofisi yenyewe hiyo. Sasa kwa vile mie ni msaidizi wa Bujibuji na snowhite hapa kwenye directorate ya HR, nimeagizwa nimjulishe kuwa amepata ajira kama karani wa kuchambua uzi zisizoeleweka kirahisi kama za kina Natalia.
NOTED WITH THANKS!
hapo ndo napokupendea huwa huniangushi ,kimajukumu!
 
Back
Top Bottom