manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,733
Jamani napenda kwa heshima na taadhima kuwauliza wahusika na wasimamizi wakuu wa mtandao huu wa JF,
Hivi jamani nyie hamna ofis?Na kama jibu ni ndiyo kwa maana ya mnazo ofisi.
Je hamna nafasi yeyote ya kazi jamani huko?
Namaanisha kazi yeyote kwa kuanzia kwani nimeshazunguka ofisi zote ilikuwa bado ofisi za JF tu.
Natanguliza shukrani zangu za dhati,
Wenu katika kutafuta kazi
Manuu.