Jamani napenda kwa heshima na taadhima kuwauliza wahusika na wasimamizi wakuu wa mtandao huu wa JF,
Hivi jamani nyie hamna ofis?Na kama jibu ni ndiyo kwa maana ya mnazo ofisi.
Je hamna nafasi yeyote ya kazi jamani huko?
Namaanisha kazi yeyote kwa kuanzia kwani nimeshazunguka ofisi zote ilikuwa bado ofisi za JF tu.
Natanguliza shukrani zangu za dhati,
Wenu katika kutafuta kazi
Manuu.
NOTED WITH THANKS!Ofisi mbona anayo mwenyewe? Tutamuelekeza wapi sasa? Hapo hapo alipotumia kufikisha hilo swali lake ndio ofisi yenyewe hiyo. Sasa kwa vile mie ni msaidizi wa Bujibuji na snowhite hapa kwenye directorate ya HR, nimeagizwa nimjulishe kuwa amepata ajira kama karani wa kuchambua uzi zisizoeleweka kirahisi kama za kina Natalia.