nafasi za kazi Qatar-doha

nafasi za kazi Qatar-doha

babukijana

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2009
Posts
14,478
Reaction score
18,341
waiters-8
receptionist-5
wanahitajika haraka
wawe na cv,
copy ya rangi pasport kurasa ya kwanza
picha pasport size 2

pm kama una vigezo tuwasiliane
 
hujaelewa nini pm kama unataka kazina una hizo vitu hapo juu.
 
mhh kuna kesi waarab wa arusha. waliwapeleka watu huko wakawatelekeza!human trafficking au
 
Back
Top Bottom