Nafasi za kazi Rwanda

Nafasi za kazi Rwanda

KIMBURU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
210
Reaction score
189
Wakuu leo nimesikia kwenye vyombo vya habari kuwa kuna nafasi za kazi Rwanda. Kama kuna mtu ana details za kina kuhusiana na nafasi hizo naomba atujuze please! Tanzania is boring dry pasture!
 
hahaaa..sijasikia bado,ila ngoja tucheki hapa zoom.com, hope wana info
 
:smiling: dah! JF kuzur hope na mm ntalowea humu nmepapenda sana
 
khaaaaa!,wewe Shy wenzio haitwi kimbuzi anaitwa KIMBURU bana.. Hata hvyo thank alot shy for your useful post
 
Back
Top Bottom