Nafasi za kazi serikalini

Loan officers sijaiona ajira portal japo kwenye tangazo lipo
 
Kwahiyo kila kitu una scan unatuma?

Na kama umeajiliwa unapitisha barua kwa mwajili then una scan ili utume?
 
Me natafuta mtu anielekeze vizuri hatua kwa hatua ktk kuomba hizi kazi kwa usahihi kabisa huko Ajira portal. Maana tulizoea kuandaa na kutuma posta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…