Nafasi za kazi serikalini

Nafasi za kazi serikalini

Mkuu posts zingine hazipo kwenye mfumo ila kwenye tangazo zipo.Kwa mfano kwenye tangazo HESLB ipo na wanataka watumishi 48 loan officers na idara zingine pia but ukifungua portal hamna, ipo nafasi 1 tu ya mtu wa procurement.
Inakuwaje hapo ktk kuomba na kutuma maombi?

Hawaeleweki kabisaaaa,bora kutuma kwa posta.Warudishe watu watume kwa posta
Tembelea ajira portal.leo wameweka
 
unajisajili unaweka taarifa zako kisha unaweka vyeti vya elimu ambavyo vimethibitishwa na mwanasheria. NB: namba ya NIDA ni lazima uwe nayo kuomba kazi huko, kwenye suala la barua ndio unaandika pia then unascan na kuupload mule mule
Asante mkuu,kufungua account nako inasumbua sn
 
Mkuu pdf editor ni ile premium au ya bure mkuu?
Za bure zipo kibao na ndiyo ninazotumia. Zamani nilikua nasign online

Mfano ukigoogle ukasearch 'Free pdf sign' utakuta websites kama sejda na smallpdf ambazo unaupload doc yako. Unaisign unaidownload kazi imeisha.
 
Daah watu wa finance sijui tumekosea nini jamani na hizi ajira za loan officers pia hatuwezi kuapply na kwenye vigezo wametuainisha kwamba tunaweza kuomba
Dah me nimejaribu kuomba nafasi ya Warden ADEM lakini inakataa, wakati kwa qualifications hizo hizo ilikubali kwa UDSM na VETA. Sijui huu mfumo unashida gani.
 
Daah watu wa finance sijui tumekosea nini jamani na hizi ajira za loan officers pia hatuwezi kuapply na kwenye vigezo wametuainisha kwamba tunaweza kuomba
Punguza kulalamika asee
 
Back
Top Bottom