Nafasi za kazi SUA

Nafasi za kazi SUA

ejoki

Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
43
Reaction score
1
Wakuu nimesikia SUA wametangaza nafasi nyingi za kazi wiki iliyopita. Nani ana taarifa na hili tangazo atusaidie full information.
 
Asante kwa taarifa. Lakini kwa hizi zilizotangazwa kwenye Faculty of Vet Medicine wameweka vigezo vingi kuonyesha tayari kuna watu wameandliwa, hii ni kutokana na uzoefu tulioupata tulipokuwa tunasoma pale SUA-Vet.
 
Back
Top Bottom