Nafasi za kazi tanesco

Nafasi za kazi tanesco

Safi sana hizo post zimetulia I hope zitaweza kuliokoa hili shirika.... I'm in!

Nimegonga senks hapo juu mkuu, job well done
 
Sasa Tanesco wajameni haya ma experience tutayatoa wapi? Au ndo kuchakachua nn?
 
ngoja tujaribu baati zetu: labda kama wameishaweka ndugu zao na hapa wakawa wananya formalities: lkn all in all mwenye sifa ana haki ya kupata kazi.
 
R these posts similar to the ones on ads today ?
 
kaka umenigusa mbayaaa maana naona kuna vijisehemu nafanania kabisa,ngoja niingie ktk mchakato maaana hata kamlete huwa wanaisha sometimes tunakumbukwa na sisi wabishiiiii NO -ndugu
 
Hivi kutangaza nafasi hizo zote ina maana gani.....??? AU wamefukuza wote na sasa wanaanza upya..???
 
Hivi kutangaza nafasi hizo zote ina maana gani.....??? AU wamefukuza wote na sasa wanaanza upya..???
Wabongo bwana zikiwa nafasi chahce mnalalamika, zikiwekwa nyingi ndo hvo tena
 
du , hawa tanesco nimeomba kazi kama mara nane wamenichunia.hizi post nina-over qualify zaidi ya post nane lakini watang'aa nga'aa sharubu tu. anyway i think theyy will not afford to pay me.
 
du , hawa tanesco nimeomba kazi kama mara nane wamenichunia.hizi post nina-over qualify zaidi ya post nane lakini watang'aa nga'aa sharubu tu. anyway i think theyy will not afford to pay me.
Kipipli je wewe ni mhandisi ? Una qualifications zipi? Hizi zilizotangazwa ni junior roles,
Natafuta wahandisi, kama wewe ndiye nipm
 
du , hawa tanesco nimeomba kazi kama mara nane wamenichunia.hizi post nina-over qualify zaidi ya post nane lakini watang'aa nga'aa sharubu tu. anyway i think theyy will not afford to pay me.

How much is enough for you? mimi nadhani kama unatafuta kazi you just apply, then ukikubaliwa enter the system, prove to your boss that you are entitled to be paid more as per your qualifications. Ukibahatika you may be promoted as time goes by. Try and fail but never fail to try.
 
Kipipli je wewe ni mhandisi ? Una qualifications zipi? Hizi zilizotangazwa ni junior roles,
Natafuta wahandisi, kama wewe ndiye nipm

Kumbe ni wewe Eng. Nsiande ndio ulietangaza sio...?:A S 13:
 
Back
Top Bottom