Nafasi za kazi TIRA

Nafasi za kazi TIRA

Nilifanya application ya Insurance Supervisory Analyst.
Walisahau tu kukuambia ya kuwa....WANASIKITIKA KUKUARIFU KUWA NAFASI ULIYOOMBA HUKUFANIKIWA KWANI WAOMBAJI WENZAKO WALIKUWA NAVIGEZO ZAIDI YAKO PIA WANAKUTAKIA MAFANIKIO MEMA.
 
mkuu nilijua wametangaza zingine kumbe unauliza swali! badilisha title mzazi.
Sure mkuu,uchaguzi wa title ni zoezi gumu sana kwa wana jamii hapa,nina wasiwasi hata na title ya application letter yake may be nayo aliikosea
 
Back
Top Bottom