Nafasi za kazi - UDSM

Nafasi za kazi - UDSM

wanajidai na chuo chao, sitaki hata kufundisha hata kama ningekuwa professor. waende zao.
 
aisee mazee mimi bado sijamaliza na sijui alivosema ni immediate alimaanisha nini. namaliza july this year........... alooooooo
 
Nikiaply then nikistaafu na kuaply tena hayatanikuta yale ya Prof. Baregu?
 
Wametangaza kutimiza Wajibu but wamesha ajiri hao watu...co mi wala sijisumbui kuomba..coz nimeambiwa Kuna vijana wawiliwaliomaliza Mwaka jana tayari wamepata chance baadhi ya Department....sasa niombe nini....Wizi mtupuuuu.....

Mkuu iwapo una ushahidi kuwa watu walishaajiriwa kwenye hizo nafasi (zote) kabla ya kutoa hili tangazo la ajira ingekuwa vyema kama ungetuwekea hapa jamvini. Ndiyo maana ya kuwa ''greti thinka''. Vinginevyo usiwakatishe wengine tamaa bila sababu.
 
hilo nalo neno!
 
Wametangaza kutimiza Wajibu but wamesha ajiri hao watu...co mi wala sijisumbui kuomba..coz nimeambiwa Kuna vijana wawiliwaliomaliza Mwaka jana tayari wamepata chance baadhi ya Department....sasa niombe nini....Wizi mtupuuuu.....
Pole! We endelea kugonga kokoto tegeta maweni au kubeba magunia kariakoo!
 
at hivo GPA yangu inakidhi kama hao ma proffesso wangesubiri////....

Wametangaza kutimiza Wajibu but wamesha ajiri hao watu...co mi wala sijisumbui kuomba..coz nimeambiwa Kuna vijana wawiliwaliomaliza Mwaka jana tayari wamepata chance baadhi ya Department....sasa niombe nini....Wizi mtupuuuu.....

Ukiwa na GPA kuanzia 3.8 we apply tu any time dont mind that deadline

academic staff hawapatikani kirahisi, wengi wanapenda kwenye kwenye industry
 
Mkuu watu wana GPA 3.8 lakini wanasota mtaani! Tunaosha nao magari manzese!

Note: GPA 3.8 out of 4? or GPA 3.8 out of 5?
 
Back
Top Bottom