Nafasi za kazi uhamiaji zinatoka lini?

Nafasi za kazi uhamiaji zinatoka lini?

neyl

Senior Member
Joined
Nov 23, 2011
Posts
127
Reaction score
19
mambo! jaman wadau me nimemaliza chuo sheria mwaka huu nataka kwenda uhamiaji maana ajira ngumu, kwa anayejua posts ztatoka lin na jinsi ya kuaply naomba anijuze... thanx
 
Kaka hata mimi najaribu kusearch sn jinsi ya kuweza kuingia uhamiaji, 2naomba m2juze jaman, nafasi za uhamiaji wanatoa mwezi upi? Na kwenye magazeti yapi?
 
Back
Top Bottom