Tunahitaji vijana kwa ajili ya kuuza bidhaa zetu (vitabu) kwa kutembeza mtaani ( kwenye maofisi, mabaa, vyuoni, barabarani, njiani nk). Kwa wanahitaji , tafadhali wasiliana nasi kwa:
La VIVA BOOK PROJECT
P.O BOX 79119
Dar Es Salaam
Mob : 0657 10 12 14
Mshahara : Tsh 300,000 kwa mwezi.
Sifa za mwombaji:
- Awe mtanzania
- Ajue kusoma na kuandika kwa ufasaha
- Awe na umri usiopungua miaka 18
- Awe muaminifu
- Awe na wadhamini wawili
- Awe tayari kufuata taratibu za kazi atakazopewa.
NB: Mwombaji anatakiwa kuja na vitu vifuatavyo:
La VIVA BOOK PROJECT
P.O BOX 79119
Dar Es Salaam
Mob : 0657 10 12 14
Mshahara : Tsh 300,000 kwa mwezi.
Sifa za mwombaji:
- Awe mtanzania
- Ajue kusoma na kuandika kwa ufasaha
- Awe na umri usiopungua miaka 18
- Awe muaminifu
- Awe na wadhamini wawili
- Awe tayari kufuata taratibu za kazi atakazopewa.
NB: Mwombaji anatakiwa kuja na vitu vifuatavyo:
- Picha moja ya rangi
- Nakala ya vyeti vya shule / vyuo alivyosoma
- Barua ya uthibitisho kutoka serikali za mitaa
- Barua za wadhamini wawili zenye picha moja moja