Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiii ndo ile mwenzako analipwa million afu mwingine analipwa laki 3 kazi io io mnatofautiana bargaining tuu😀😀Itakuwa ni fixed au negotiable mkuu
bora nife njaaVijana wanasema hakuna kazi! Hiyo hapo fursa!
Kweli kabsa Mkuu na mara kadhaa hawa wanatofutwa hapa wanakwenda kupigwa barabara!Kazi za halimashauri nishazikataa,yaan mtu kukupa haki(mshahara) wako ambayo sio hela yake toka mfukoni anaumia sana,hyo kazi wategemee baadhi ya miezi kutokulipwa
Huu ujinga sijui wakuandikisha wapga kura,sjui postcode,sjui kodi za majengo hapana kwa kweli,
Mkurugenz anakwambia andikisha nyumba 50 kwa siku tena ukiwa unaingiza taarifa kwenye mtandao
Kuna mwaka nilikuwa karani wa sensa mbona tulilipwa fwedha zote kwa wakati.Kazi za halimashauri nishazikataa,yaan mtu kukupa haki(mshahara) wako ambayo sio hela yake toka mfukoni anaumia sana,hyo kazi wategemee baadhi ya miezi kutokulipwa
Huu ujinga sijui wakuandikisha wapga kura,sjui postcode,sjui kodi za majengo hapana kwa kweli,
Mkurugenz anakwambia andikisha nyumba 50 kwa siku tena ukiwa unaingiza taarifa kwenye mtandao
Kuna baadhi ya halimashauri zipo vizur,ila nyingi kulipwa pesa mpaka mkalishwe juani zaidi ya masaa 4 wakat huo mumeshakabidhi kaz yaoKuna mwaka nilikuwa karani wa sensa mbona tulilipwa fwedha zote kwa wakati.