Nafasi za kazi ya ushonaji

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Posts
42,209
Reaction score
51,004
Husika na kichwa cha habari hapo.kiwanda changu cha kushona nguo kinatafuta wafanya kazi.umri wowote,jinsia yoyote.elimu kuanzia diploma.vigezo na masharti kuzingatiwa.acheni kulalamika kazi hamna wakati viwanda vipo.
 
Tunakuja mkuu [emoji23][emoji23]
 
tangu ufike Mjini cherehani ndo umeijua Leo!! umeona kitu cha ajaabu mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…