mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Husika na kichwa cha habari hapo.kiwanda changu cha kushona nguo kinatafuta wafanya kazi.umri wowote,jinsia yoyote.elimu kuanzia diploma.vigezo na masharti kuzingatiwa.acheni kulalamika kazi hamna wakati viwanda vipo.