Jamii Opportunities
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 4,876
- 1,549
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ni hewa...elewa swali. Sio 125,000/= ni 105,000/=kwa msimamizi wa kituo.Mkuu wa kituo 125000/=
Msaidizi wa kituo 115000/=
Karani 65000/=
Karani ni 45,000/=We ni hewa...elewa swali. Sio 125,000/= ni 105,000/=kwa msimamizi wa kituo.
95,000 kwa msimamizi msaidizi.
65,000 kwa karani.
Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
Kiofisi tunatumia zile ream paper(plain papers) size ya A4 au zile rude paper zenye mistari ila ziwe na A4 sizeJamani naombeni kuuliza hivi nikaratasi gani inafaa zaidi kuandikia barua ya maombi?..maana nimekutana na utata huo wapo wanaosema nizile ream paper (White plain paper)na Kuna wanaosema nihizi fullscaps paper (single lined paper/writing pads)so wadau kipi ndio sahihi?
Kingine nikuhusu Referees wanasema lazima wawe niwatumishi wa umma..je hili nalo Lina ukweli gani?