Nafasi za kazi za muda, NEC, Chamwino na Mvumi

Mkuu wa kituo 125000/=
Msaidizi wa kituo 115000/=
Karani 65000/=
 
Halmashauri ya jiji la Dodoma tayari wametangaza au bado...???
Mwenye taarifa anijulishe plz.
 
Jamani naombeni kuuliza hivi nikaratasi gani inafaa zaidi kuandikia barua ya maombi?..maana nimekutana na utata huo wapo wanaosema nizile ream paper (White plain paper)na Kuna wanaosema nihizi fullscaps paper (single lined paper/writing pads)so wadau kipi ndio sahihi?
Kingine nikuhusu Referees wanasema lazima wawe niwatumishi wa umma..je hili nalo Lina ukweli gani?
 
Kiofisi tunatumia zile ream paper(plain papers) size ya A4 au zile rude paper zenye mistari ila ziwe na A4 size
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…