Nafasi za kazi za muda NEC, Halmshauri ya Jiji la Mwanza

Jamii Opportunities

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
4,876
Reaction score
1,549
1600760075536.png

1600760146079.png
 
Tuliambiwa kuwa hili tangazo halina maana yoyote. Watu walikwashapangwa tayari ili kuipa CCM ushindi. Hata semina imekwisha fanywa!
Kama ukihitaji omba bt semina walifanya wle viongozi wa majimbo ili kuweka .mambo sawa
 
Hauna taarifa za kutosha wewe. Hizo nafasi zimekwishajazwa zote kwa mpango wa CCM na NEC.
kama ukihitaji omba bt semina walifanya wle viongozi wa majimbo ili kuweka .mambo sawa
 
Tuliambiwa kuwa hili tangazo halina maana yoyote. Watu walikwashapangwa tayari ili kuipa CCM ushindi. Hata semina imekwisha fanywa!
Acha kutunga uongo kwenye jukwa la watu wanaojielewa semina zilizokua zikiendelea ni Kwa wasimamizi wa uchaguzi wa majimbo na izi za sasa ni wasimamizi katika vituo vya kupigia kura.
 
Semina za CCM na NEC za kuiba uchaguzi unategemea zitangazwe magazetini? Kalabagao!
Acha kutunga uongo kwenye jukwa la watu wanaojielewa semina zilizokua zikiendelea ni Kwa wasimamizi wa uchaguzi wa majimbo na izi za sasa ni wasimamizi katika vituo vya kupigia kura.
 
Acha kutunga uongo kwenye jukwa la watu wanaojielewa semina zilizokua zikiendelea ni Kwa wasimamizi wa uchaguzi wa majimbo na izi za sasa ni wasimamizi katika vituo vya kupigia kura.
its true na kila mwenyekiti wa mtaa ameambiwa achague wat wanne au watatu nafas tayar ziko na watu wake
 
unatokea kijiji gani Mkuu, inaweza kua sio kosa lako pengine mazingira yanayokuzunguka ndio tatizo.
 
na kwa uhakika mwenyekiti wa mtaa wangu ameshachagua hao watu wanne kujua napotokea hapatakusaidia jambo elewa hayo mambo yapo
 
wenyeviti wa mitaa hawahusiki lolote na hii shughuli hili zoezi linaendeshwa ofisi za wilaya sio mtaa tu hata ngazi ya kata haiwahusu, m/kiti serikali ya mtaa asikudanganye atakupa hii kazi.

Labda kama aliongea kutaka sifa maana Kwa vijijini hawa watu wanaaminika na kuonekana wananguvu at a zinapotoka nafasi za jeshi Kwa mfano wengine hudiriki kusema wanaweza kukusaidia kumbe ni jambo lisilowahusu kabisa.
 
ohoo haya bwana naongea niliyoyashuhudia sio kua nayatoa kichwani.
 
Back
Top Bottom