Nafasi za kazi za walimu 2014

Nafasi za kazi za walimu 2014

Muhode

Member
Joined
May 7, 2013
Posts
12
Reaction score
4
Habari wadau,
Jamani kuna yeyote mwenye taarifa rasmi juu ya lini serikali itatangaza post za kazi za walimu kwa mwaka huu?,maana kumekuwa na taarifa nyingi juu ya tarehe hiyo.Watu wamechoka sana huku mtaani,yaani hata vocha imekuwa tabu.
Asanteni
 
April mosi... ucjal bado wiki 6 tu andaaga nauli ili zktangazwa usihangaike
 
Itakuwa vema kama ukipata mda wa kwenda kuuliza pale wizarani.
 
Haraka ya nini huko kwenyewe ukifika miezi mitatu unaishi kwa headmaster unachunga mbuzi wake maana mshahara utakuwa bado uko mikononi mwa wajanja wa nchi hii.Pole kwa mawazo hafifu
 
Itakua unaongele Walimu wa afghanistan,usipayuke usichojua
Haraka ya nini huko kwenyewe ukifika miezi mitatu unaishi kwa headmaster unachunga mbuzi wake maana mshahara utakuwa bado uko mikononi mwa wajanja wa nchi hii.Pole kwa mawazo hafifu
 
Haraka ya nini huko kwenyewe ukifika miezi mitatu unaishi kwa headmaster unachunga mbuzi wake maana mshahara utakuwa bado uko mikononi mwa wajanja wa nchi hii.Pole kwa mawazo hafifu

2mia akili niga majibu gani kwa mwenzako aisee? jamii forum z for great thinkers kama huwez kuandika chenye maana stay aside
 
wewe wakitoa si utaziona unaharaka ya nini au unapenda kudanganywa tu!ok ajira zitatolewa leo umefurahi?
 
ctak kuamini kuwa jf ni kijiwe cha wahuni. nilifikiri ni moja ya mtandao ambao unaweza kupata majibu yenye hekima toka kwa wasomi mbalimbali, badala yake ni mahali ambapo kama unakiu na majibu ya kihuni basi njoo uulize swali lako hapa, na wengi wenu ndo mnaotarajiwa kuwa viongoz wa nchi hii, wananchi mtakaowaongoza watakuwa na hoja na maswali yanayofanana na hayo yanayoulizwa je mtawajibu vp. Ni afadhali kuwa kmya kama huna majibu kuliko kujitakia umaarufu usio na tija.
 
Back
Top Bottom