Nafasi za kazi

makinikia 101

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Posts
491
Reaction score
876
Nafasi za kazi (watu 10)

1. Mtu aliyetulikana

Mshahara kwa mwezi ni milioni 10....!!!!

Kama upo Tayari piga namba zisizojulikana apo Chini.

By mtu asiyejulikana
 
NAFASI ZA KAZI (WATU 10)

1. MTU ASIYEJULIKANA

Mshahara kwa mwezi ni milioni 10....!!!!

Kama upo Tayari piga namba ZISIZOJULIKANA Apo Chini.

By mtu asiyejulikana
duuuu siku zote majan hayajawai mwacha mtu salama
 
NAFASI ZA KAZI (WATU 10)

1. MTU ASIYEJULIKANA

Mshahara kwa mwezi ni milioni 10....!!!!

Kama upo Tayari piga namba ZISIZOJULIKANA Apo Chini.

By mtu asiyejulikana

Tafadhali Mkuu naomba unielekeze uliponunua hiyo Bange / Bangi yako ya leo kwani naona ni ya Kiwango cha juu kabisa Kiubora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…