Nafasi za kaziiiiiiii..........kwa first lady wenu wa 2015!!!!!!!!! Wahi sasa............!!!!!!!!!

Lady doctor

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
8,756
Reaction score
7,005
Mmeamkaje bandugu!?

Kwa wale ndugu zangu wazigua- mgona vihii, wabwanga kwa wandele?

Wale wenyeji wangu wa Singida pokeeni hii- Wafir'sh'ya uri?

Wakina Mamndenyi-shimbonyi?

Wapare- namnani, mle wedi? Mwavukadhe?

Basukuma ng'hwangaluka? Mli mhola?

Wale wenye damu ya kidachi- Guten Morgen.... Geht es Ihnen gut?????

Kwa wale wa udhunguni- Good morning!?

Wazulu- san'bonaan? Ninjani?

Jirani zangu wa kongo- olalaki?

Ama baada ya salam ningependa kusema kile nilichokusudia, mwenzenu tangu niolewe kazi sipumui wala kupumzika, kazini nachelewa, outing na marafiki si hudhurii, majirani ndio kabisaa hata nyuso zao sizijui.......... Hiii yote nikutokana na kuzidiwa na kubanwa na kazi za nyumbani....!!!!!!!!

Nahitaji wafanyakazi wawili wa ndani wa kike na wa kiume,,,,,,,,, hebu mkuje jamani mnisaidie FIRST LADY wenu mtarajiwa kazi......... Nitakomaa atiii!!!!!!!!!

NB: kazi za JIKONI na CHUMBANI na sile zooote zinazohusu mwili wa hubby wangu Arushaone nitazifanya mwenyewe maana hazinichoshi na ninazimudu ki sawasawa!!!!!!!!!!

Cc: Mamndenyi, Heaven on earth, lady furahia, charminglady, Passion Lady a.k.a dismynder1, Arabela, chops, Kipipi, Ablessed, Fixed Point, MwanajamiiOne, Mrembo by Nature, shansarie, Toria mimisa, amu Madame B, The secretary, Kaizer, Mentor, figganigga, kiwatengu, Mr Rocky, kabanga, Bishanga, Chimbuvu, WA-UKENYENGE, UNDENIABLE, Eli79, TheDealer.

Naomba wawili kati yenu aje au munitafutie wafanyakazi hodari na si wavivu zawadi nono kwa atakaye niletea hao wafanyakazi.

Mtambuzi utanisaidia kutambua tabia zao kwa sura maana sitaki vicheche nisije ibiwa mume mie.
 
Last edited by a moderator:
ndoa ndo kwanza changa dada yangu kazi zishakushinda na wakija watoto je,mmmh ngoja nijitahidi kutafuta kabila gani wataka na dini je

shansarie we acha tu!!!!!!!!!! kwanza huu mjumba aliojenga shemejio mkubwa, garden ndio usiseme utafikiri alijenga ili tuje tuishi ukoo mzima, yaani nikianza kufanya usafi yanichukua siku nzima mwenzio......... Sasa sintakonda?
 
Last edited by a moderator:
ahaaaa nimeelewa sasa
nikuambie kitu atakayekubali msichana kuwa hg wako jua ni nyumba ndogo ya Arushaone.
Unless otherwise na wewe una kampango kale kaserengeti boy ukiingize kawe karibu na wewe. Filipo hivi marejesho hajatoka maternity leave?

sina mpango wowote amu zaidi ya kusaidiwa kazi tu mwenzio
 
Last edited by a moderator:
...Tena wakichelewa nitaagiza wa ugaibuni tena waliohasiwa kwa upande wa house boy na wasichana wenye chongo.

Changamkieni before is too late.

Umri kuanzia miaka 20 mpaka 35 kwa kiume? Sema na packages kabisa maana naweza kuacha kazi yangu kwa mhindi nikaja uko...ila Arushaone amesema anataka kumuasi sijui anaofia nn?
 
...Tena wakichelewa nitaagiza wa ugaibuni tena waliohasiwa kwa upande wa house boy na wasichana wenye chongo.

Changamkieni before is too late.

hivi honey hapo ofisini kwako hakuna kavulana ambako kanafaa kukatumia kwa matumizi ya nyumbani? Maana nami naangalia kaschana cha kumuvuzisha home kanisaidie makazi ya nje ya mwili!!!!!
 
Umri kuanzia miaka 20 mpaka 35 kwa kiume? Sema na packages kabisa maana naweza kuacha kazi yangu kwa mhindi nikaja uko...ila Arushaone amesema anataka kumuasi sijui anaofia nn?

umri kuanzia miaka 18-40 kwa jinsia zote, kama upo tayari nione
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…