figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
we Eli79 unajipenda kweli best
kucha na meno unavihitaji au ushavichoka!!
omba mungu Ruttashobolwa asipite huku!!
​hahahaaa!! Eli79 umesikia?shaurilo mie sipo!!Juzi juzi alitaka kuninyang'anya Heaven on earth wangu, bahati nzuri my wife akasimama kidete. Mwambie mke wa mtu sumu. mia
we Eli79 unajipenda kweli best
kucha na meno unavihitaji au ushavichoka!!
omba mungu Ruttashobolwa asipite huku!!
Mambo shem? Nimekukumbuka sana. Afu mimi nachukiaga mpaka natetemekaga nisipokuona ati. Afu nimefurah sana UMERUDIA JINALO la kale.
huyo eli79 naona kachoka kuishi
my akanana Passion Lady miss you.
figganigga wewe nimekuachia tu... Heaven on earth sio saizi yako....usipoangalia watamega, shaurilo.Juzi juzi alitaka kuninyang'anya Heaven on earth wangu, bahati nzuri my wife akasimama kidete. Mwambie mke wa mtu sumu. mia
Tuhuma zote ziende kwa Lady doctor..yeye ndo alitoa go-ahead, sasa nashangaa leo unakuja na haya...
we Eli79 unajipenda kweli best
kucha na meno unavihitaji au ushavichoka!!
omba mungu Ruttashobolwa asipite huku!!
huyo eli79 naona kachoka kuishi
my akanana Passion Lady miss you.
Tuhuma zote ziende kwa Lady doctor..yeye ndo alitoa go-ahead, sasa nashangaa leo unakuja na haya...
Haya bwana, we nitenge tu..yaani nimejaribu mpaka baasi tena..
hivi kwanini unamtenda my shem Lady doctor?
Nimekoma bosi Ruttashobolwa
naona humu kila mtu na wake...
Tuhuma zote ziende kwa Lady doctor..yeye ndo alitoa go-ahead, sasa nashangaa leo unakuja na haya...
Haya bwana, we nitenge tu..yaani nimejaribu mpaka baasi tena..
si tubaki kua mabeste tu
nke ya ntu chumu wewe ohooo!!!
Siwezi kuwa besti yako tu...siweziiiii...
si tubaki kua mabeste tu
nke ya ntu chumu wewe ohooo!!!
pacha!!!!!!!!!!!
heheheeee!!!rutta ni mume wa ndoani kabisaSiwezi kuwa besti yako tu...siweziiiii...
Mbona pacha wako Lady doctor anasema uko singo? au ananidanganya nini?
kwani Ruttashobolwa nani yako?
hahahaaa lazima nami nijifunze hicho kiswahili, hivi Eli79 unamfahamu? Nataka nimpeleke kwa shemeji loya akamsalimie