WHAT!!!NGOJA NIWE :tape::tape:
1.wii your wish is my command hilo swala atabaki nalo Mamndenyi
2.hahaaa huyo ndo my wii watu wanasema ma wii wabaya mbona mie
kiroho swafi tu kwa wii wangu
Kama hivyo sawa
ila kwako nitafanya buree sitaki mshahara
mkataba wa kazi nitafanya na mumeo.
...Tena wakichelewa nitaagiza wa ugaibuni tena waliohasiwa kwa upande wa house boy na wasichana wenye chongo.
Changamkieni before is too late.
Shemegi kwema?
bahati mbaya mume wangu hatokuwepo atasafiri kikazi nitabaki mimi na wewe pamoja na h/boy tu
mimi njoo tusaini contract kabisa
Basi nipeni Hints basi...interview ni practical? nije na vitendea kazi vya houseboy? Mama naomba unifanyie interview ww maana baba naona ni mkali sana yeye amfanyie interview housegirl tu...Arushaone mzee usiwe na wasiwasi mimi ni kijana safi niko hapa JF toka 2008 sijawahi patwa skendo na mke wa mtu wala nini na isitoshe am verified so sina madhara kabisa...
:A S-key::A S-key:
Nitafanya kazi akirudi,
endelea na h/boy kwanza.
kaka nimekumiss, mnzima lakini?
mimi mzima, majukumu yamenitinga hapa...
pole sana, ila usiwe kimya kihivyo uwe unatupungia hata mkono ukipita
Yap, interview ni ya kipractical zaidi we njoo hiyo tarehe uliyoambiwa, mambo mengine utayajulia hukuhuku
mhm jamani my cousin si utuite sisi nduguzo tukusaidie kwani watakuletea vicheche bure uje ulie kwa mlio kutoka puani na sio mdomoni