MAGAMBA MATATU
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 646
- 1,199
Jaribu kutembele thread mbali mbali idadi ya waliopata nafasi ni 54085 wavulana31352 wsichana 22733 na waliokosa ni 16800.wanafunzi wapatao 68000 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano, habari imetolewa na waziri wa elimu kwa vyombo vya habari,na waziri katangaza wanafunzi kuripoti shuleni kuanzia tarehe 10 july, na watakaoshindwa kuripoti hadi kufikia tarehe 30 july nafasi zao zitatolewa kwa wale ambao hawajapata nafasi kwa madaraja mengine
Sourse: Taarifa ya habari Star tv saa 2 usiku huu
wanafunzi wapatao 68000 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano, habari imetolewa na waziri wa elimu kwa vyombo vya habari,na waziri katangaza wanafunzi kuripoti shuleni kuanzia tarehe 10 july, na watakaoshindwa kuripoti hadi kufikia tarehe 30 july nafasi zao zitatolewa kwa wale ambao hawajapata nafasi kwa madaraja mengine

HUwa hawaweki necta nenda tovuti ya Wizara ya Elimulakini pamoja na kuona waziri akitangaza kuwa selection zimetoka ila nashangazwa kuwa nimetembelea tovuti ya necta bado hawajaweka inakuaje hapo, au huwa hawaweki?????
wanafunzi wapatao 68000 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano, habari imetolewa na waziri wa elimu kwa vyombo vya habari,na waziri katangaza wanafunzi kuripoti shuleni kuanzia tarehe 10 july, na watakaoshindwa kuripoti hadi kufikia tarehe 30 july nafasi zao zitatolewa kwa wale ambao hawajapata nafasi kwa madaraja mengine
Sourse: Taarifa ya habari Star tv saa 2 usiku huu
Mi najua kama zinatolewa moe lkn nimezicheki mpaka HESLB,NECTA+mablogu kibao ila kote nimeambulia uharo!HUwa hawaweki necta nenda tovuti ya Wizara ya Elimu
Hivi taarifa ya habari haina marudio.wanafunzi wapatao 68000 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano, habari imetolewa na waziri wa elimu kwa vyombo vya habari,na waziri katangaza wanafunzi kuripoti shuleni kuanzia tarehe 10 july, na watakaoshindwa kuripoti hadi kufikia tarehe 30 july nafasi zao zitatolewa kwa wale ambao hawajapata nafasi kwa madaraja mengine
Sourse: Taarifa ya habari Star tv saa 2 usiku huu
Mi najua kama zinatolewa moe lkn nimezicheki mpaka HESLB,NECTA+mablogu kibao ila kote nimeambulia uharo!
wanafunzi wapatao 68000 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano, habari imetolewa na waziri wa elimu kwa vyombo vya habari,na waziri katangaza wanafunzi kuripoti shuleni kuanzia tarehe 10 july, na watakaoshindwa kuripoti hadi kufikia tarehe 30 july nafasi zao zitatolewa kwa wale ambao hawajapata nafasi kwa madaraja mengine
Sourse: Taarifa ya habari Star tv saa 2 usiku huu
Wamezingua sana mwanang, yan hapa hata ucngzi hauji na kwa nlivyo sasa cjui kama ntalala leoAisee BatteryLow wewe :banghead: