Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sorry apo nikiwa na four ya 26 na c c c na DDD na f Mathe vipiPius High School ni shule ya bweni na kutwa Kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Toangoma-Temeke umbali wa kilometa Moja kutoka kongowe mwisho kando ya barabara iendayo mjimwema. Shule Inapokea wanafunzi wanaohitaji kujiunga na masomo ya kidato Cha Tano Kwa mwaka 2023/2024 Kwa tahasusi zifuatazo: HGE, HKL, HGK, PCM, PCB, EGM, CBG na PGM. Sifa za muombaji:
1. Awe amemaliza kidato Cha nne 2022
2. Awe na ufaulu wa angalau D Moja na C mbili katika tahasusi anayotaka kusoma.
3. Wazazi/walezi wawe na uawezo wa kulipa ada.
Shule pia Ina nafasi za kuhamia Kwa kidato Cha kwanza, tatu na sita. Shule Inapokea watahiniwa wa kujitegemea na wanaofanya mtihani WA maarifa. Ada zetu ni nafuu na hulipwa Kwa awamu. Kwa mawasiliano zaidi tafadhali piga 0763256631/0613162459 au fika shuleni. Karibuni.
Apo ntasoma Kama PC au SC na kuusu usajili auto sumbua au Mpaka niludie Somo nataka hkl ambayo Nina DCCKaribu
namb zako zipiNipigie
Biashara ni matangazo mkuuNina principle moja nayo ni hii 👇
SHULE YOYOTE INAYOJITANGAZA AIDHA KWENYE REDIO, TV, MAGAZETI AU POPOTE UJUE SHULE HIYO SIO NZURI YANI HAMNA KITU.
Nabaki kuamini hivyo