Pius High School ni shule ya bweni na kutwa Kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Toangoma-Temeke umbali wa kilometa Moja kutoka kongowe mwisho kando ya barabara iendayo mjimwema. Shule Inapokea wanafunzi wanaohitaji kujiunga na masomo ya kidato Cha Tano Kwa mwaka 2023/2024 Kwa tahasusi zifuatazo: HGE, HKL, HGK, PCM, PCB, EGM, CBG na PGM. Sifa za muombaji:
1. Awe amemaliza kidato Cha nne 2022
2. Awe na ufaulu wa angalau D Moja na C mbili katika tahasusi anayotaka kusoma.
3. Wazazi/walezi wawe na uawezo wa kulipa ada.
Shule pia Ina nafasi za kuhamia Kwa kidato Cha kwanza, tatu na sita. Shule Inapokea watahiniwa wa kujitegemea na wanaofanya mtihani WA maarifa. Ada zetu ni nafuu na hulipwa Kwa awamu. Kwa mawasiliano zaidi tafadhali piga 0763256631/0613162459 au fika shuleni. Karibuni.