Dominik Dominik
Member
- Jun 3, 2025
- 94
- 153
vijana mnaojitafuta na msio na ajira ndo mkabahatishe hukoo pa kupunguzia maumivu walau,Posho si habaaa.
Maisha yapo kasi sana isee,enzi zetu barua moja tu ya kujieleza unakwenda kusimamia.Hii naona wamedai wadhamini tena wawe na NIDA😅😅 na unaeomba uandike wasifu(CV) na mavyet yenu ya shule na vyuo.
neno moja;